Vifurushi
Wednesday, June 13, 2018
New Promo
[6/13, 12:33] Walk: 🔊🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍾🥃🥃🥃🥃🥃🥃 HALOTEL Tu!!!!!????!!!!!!!!!! Pata Dakika Na Mb. GB4 KWA TSH 3500\= WIKI. VS. PATA GB5 KWA TSH 4000|= BILA KIKOMO. VS. PATA GB10 KWA TSH 10000|= BILA KIKOMO VS PATA GB6 KWA TSH 4500|= BIKA KIKOMO. VS PATA GB 8 KWA TSH 8000|= BILA KIKOMO NB: MALIPO BAAADA YA KUONA bundle LAKO. KWA MAWASILIANO 0623525322. AU TEMBELEA GROUP AU BLOG YETU
[6/13, 12:45] Walk: http://offayakoleo.blogspot.com/?m=
HaloPesa
▶ Halopesa
Image
Simu yako ya mkononi ni zaidi ya njia ya mawasiliano; Pia ni mkoba wako.HALOPESA ni huduma ya pesa kimtandao inayoletwa na Halotel na inampa fursa mtumiaji wa simu kutuma na kupokea pesa haraka ,kwa usalama na rahisi masaa 24/7. Inawapa wafanyabiashara na watu wengine wa aina hii njia rahisi, ya kumudu na kudhibiti na kusimamia malipo pamoja na kutuma pesa kwa njia mbalimbali muda wote na sehemu yoyote. kwa msisitizo, urahisi wa HALOPESA unalenga kuimaarisha na kutoa suluhisho la changamoto ya kiusalama.
Jinsi ya kujiunga Huduma
Kujiunga na HALOPESA ni rahisi sana, Temebelea leo duka lolote la wakala au la Halotel na vitu vifuatavyo:
1. Tembelea wakala yeyote aliye idhinishwa au duka la HALOPESA na usajiliwa .
2. Mpatie kitambulisho chako upate kusajiliwa.
3. Utapokea ujumbe kuthibitisha usajili wako.
4. Unaweza kuwezesha huduma
5. Sasa unaweza kutumia huduma ya HALOPESA
Nani anaweza kutumia huduma ya HALOPESA?
1. Watu
2. Biashara ndogo na kubwa
3. W\auzaji rejareja
4. Taasisi
Huduma ya HALOPESA
Kuweka pesa
Kutoa pesa
Kutuma pesa kwa mteja yeyote wa mtandao wwote Tanzania
Kununua muda wa mongezi
Kulipia Luku, DAWASCO, Zuku, DSTV na Startimes
Kubadili nywila
Kuangalia salio
Kuangalia taarifa ya miamala
Jinsi ya kutumia huduma
Unaweza kutuma na kupokea pesa muda wowote na mahali popote Tanzania.HALOPESA inakuwezesha kutuma pesa kwa usalama na haraka kwa wateja wa HALOTEL.
Fuata maelekezo yafutayo kutuma pesa:
· Piga *150*88#
· Chagua 1: Kutuma pesa
· Chagua njia
· Tuma kwenda namba ya simu
· Tuma kwenda namba ya bank
· Hamisha kutoka Bank
· Tuma kwa mitandao mingine.
Chagua 1 namba ya simu
Piga *150*88#
Hatua 1: Chagua 1 Kutuma pesa
Hatua 2: Chagua 1 weka namaba ya simu
Hatua 3: Ingiza namba ya simu
Hatua 4: Weka kiasi
Hatua 5: Weka yaliyomo
Hatua 6: Weka namba ya siri
Hatua 7: Thibitisha muamala
Utapokea meseji ya uthibitisho wa kufanikiwa kutuma pesa kwa namba uliyoweka .
Kutoa pesa
Mara unapoweka pesa kwenye akaunti yako ya Halopesa, unaweza kufuata maelekezo yafuatayo ili kutoa pesa.
Piga *150*88#
Hatua 1: Chagua 2 : Kutoa
Hatua 2: Chagua 1 kutoka kwa wakala
Hatua 3: Ingiza code ya wakala
Hatua 4: weka kiasi
Hatua 5: Weka nywila
Hatua 6: Thibitisha muamala
Utapokea ujumbe wa kuidhinisha kutoa pesa kutoka kwa wakala uliyemchagua.
Jinsi ya kununua muda wa maongezi kwa HALOPESA
Ingia huduma ya malipo kabla kwenye akaunti yako. Nunua muda wa maongezi kwa ajili yako na wengine. Unaweza kununua muda wa maongezi kwa haraka na rahisi kwa kutumia akaunti ya HALOPESA. Rahisi fanya yafuatayo.
Piga *150*88#
Hatua 1: Chagua 3 kununua muda wa maongezi
Hatua 2: Chagua kununua kwenye namaba yangu
Hatua 3: Weka kiasi
Hatua 4: Weka namba ya siri
Hatua 5: Thibitisha muamala
Utapokea SMS ya kuidhinisha kununua muda wa maongezi kwa kiwago cha pesa ulichochagua.
Gharama za huduma
Gharama za HALOPESA zitategemea na kiwango cha pesa unazotuma au kutoa.
Unaweza kutumia orodha ya HALOPESA kununua muda wa maongezi kwenye simu yako au kwa ajili ya mwingine.Huduma hii ni bure na utalipia tu muda wa maongezi ulionunua.
ADA ZA WATEJA
Limitation (TSH) Ada
Kutoka Kwenda
Tuma kwa mteja aliyesajiliwa
Kutoa pesa
Tuma kwa mteja asiyesajiliwa
100 999 8 NA NA
1,000 1,999 18 275 350
2,000 2,999 25 295 380
3,000 3,999 35 375 475
4,000 4,900 45 400 530
5,000 5,999 70 550 710
6,000 7,999 80 680 790
8,000 9,999 85 680 825
10,000 19,999 200 1,000 1,250
20,000 29,999 260 1,200 1,550
30,000 39,999 280 1,300 1,620
40,000 49,999 280 1,500 1,800
50,000 99,999 420 1,800 2,350
100,000 199,999 460 2,200 2,750
200,000 299,999 620 3,300 4,200
300,000 399,999 850 4,300 5,600
400,000 499,999 950 5,300 6,600
500,000 599,999 1,300 5,600 7,500
600,000 699,999 1,400 6,000 7,600
700,000 799,999 1,400 6,100 7,650
800,000 899,999 1,600 6,350 8,100
900,000 1,000,000 1,750 6,500 8,300
1,000,001 3,000,000 3,500 6,800
New Paying Prices
🔉🏴HALOTEL🇺🇸🔈 HALOTEL🔊🔔🇺🇸🧤
PATA OFA KABAMBE ZA HALOTEL KUTUMIA BILA KIKOMO
```🦋Pata GB 4 za wiki kwa sh 3000 tu
🦋Pata Gb 5, dk 120 mitandao yote na sms bila kikomo kutumia bila limit kwa sh 7000/= tu!!!!!!
🦋Pata Gb10,dk 150(mitandao yote) na sms bila kikomo kutumia bila limit kwa sh 12000/= tu!!!!```
contacts:0623525322